Recruitment portal

Mar 6, 2015
70
221
Mlioomba kazi kupitia recruitment portal ya Tz mnipe muongozo mmewezaje kuikamilisha profile maana leo ni siku ya pili nakwama plus profile picture inagoma kuaupload
 
Mlioomba kazi kupitia recruitment portal ya Tz mnipe muongozo mmewezaje kuikamilisha profile maana leo ni siku ya pili nakwama
1. Jaza kila sehemu vizuri
2. Inapokua haifunguki baada ya Kujaza usi "back" ila reload.
3. Angalia usahihi wa kila sehemu unayojaza.

plus profile picture inagoma kuaupload
4. Angalia heinght na width ya picha yako.
Kama vipi i "crop" kwa kutumia simu ndio u "upload"

#YNWA
 
Mlioomba kazi kupitia recruitment portal ya Tz mnipe muongozo mmewezaje kuikamilisha profile maana leo ni siku ya pili nakwama plus profile picture inagoma kuaupload
yabid uwe mvumilivu ni kweli ina changamoto ila yatakiwa ujaribu mara kwa mara itakubali
nadhan usiku ni mda mzuri kuliko mchana

ikikusumbua sana njoo nyumban kwangu kigamboni
 
Poleni sana.jitahidi kwani tunaamini una uelewa wa kutambua kinachokufelisha kutengenza profile.maelezo yapo karibu utumishi wa umma kama ukifanikiwa usaili
 
Angalia vigezo pia vya kozi husika kwenye tangazo. Mfano, nimesoma IT, kwenye tangazo la kazi wanataka watu waliosoma ICT, Niki apply inagoma kabisa kuwa Sina sifa nicheki kigezo, ila nilipoedit nikaandika ICT ikanikubalia, so cheza na hili pia ndugu
 
Mie wakuu nishasahau login details mpaka nikiweka email inakataa. Nilikuwa na profile iliyofikia 97%.msaada please wadau
kama unaikumbuka email uliyojiunga nayo iweke afu tafuta sehemu iliyoandikwa forgot password watakumia password mpya kisha unalog in
jarib kukumbuka email yako uliyoitumia
 
kama unaikumbuka email uliyojiunga nayo iweke afu tafuta sehemu iliyoandikwa forgot password watakumia password mpya kisha unalog in
jarib kukumbuka email yako uliyoitumia
Mpaka email mkuu nishasahau. Na nimejiunga last year November
 
Hyo portal inasumbua aisee nilikuwa namu apply mdogo wangu nilikoma nilitumia siku nzima hafu ilikuwa inasumbua, na nilitumia network ya voda. In short hyo portal imezidiwa
 
Yani imagine nafasi 1000 inazidiwa hyo website full usumbufu. Dah Mimi siko huko ila kupitia kusaidia watu nimekuwa mzoefu, but this time it's too much wallah
Hao ma-IT ukiwakuta wanavyozunguka kwenye viti ofisini Sasa utasema sio Hawa wenye kusimamia mifumo iliyojaa Bugs.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka email mkuu nishasahau. Na nimejiunga last year November
katika vitu muhimu vya kuhifadhi kwa dunia ya sasa ni email huu ni ulimwengu wa kidigatal mkuu
nadhan ulikuwa huitumiii mara kwa mara
ila usikate tamaa ilikishindikana kabisa fungua email mpya kisha jiunge kama mtandao upo vizuri ni ishu ya siku moja tu unamaliza kila kitu
 
Kama alijiungia na Nida itamsumbua mpaka
 
Back
Top Bottom