Msaada: Lobbying firms Tanzania

Msaada: Lobbying firms Tanzania

Rasputin

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2018
Posts
557
Reaction score
692
Habari wakuu,

Naomba msaada kwa mtu anayezifahamu lobbying firms zinazofanya kazi hapa Tanzania, hasa Dar es Salaam na Dodoma. Na sana sana zile ambazo ziko active kwenye sera mbalimbali.

Asanteni!!
 
Mkuu,kwa hapa bongo wengi ni NGOs na Legal firms.Hata hivyo kwa kutegemea malengo yako unaweza tumia mtu binafsi ambaye ana conenction sahihi
 
Shukrani mkuu, ngoja nipotie site za NGOs
 
Mkuu,NGOS nyingi zinafanya lobying by sector.So inategemea target yako ni nini hasa.Lobying nyingine unaweza kufanya mwenyewe kama ni issue ambayo una interest nayo mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom