Kuna kitu hakiko sawa Kwenye kampuni ya Dangote

Hata kama Tangazo ni Feki na Mamlaka husika imekanusha ila Wanaijeria hupaswi Kuwaamini 100% kutokana na Historia yao ya Udhulumati na Usanii hapa Ulimwenguni.
 
Kama wewe ni graduate basi elimu yetu ina shida sana. Ila Kama ni layman, kosa ni la hao matapeli.
Mtu yoyote mwenye akili timamu akiona tu tangazo la kazi lilivyo hapohapo anagundua kuwa hao ni matapeli
 
Back
Top Bottom