Dereva ninatafuta gari ya kuendesha kama Uber au Bolt

Dereva ninatafuta gari ya kuendesha kama Uber au Bolt

Ngai22

Member
Joined
Sep 7, 2021
Posts
5
Reaction score
5
Habar za majukumu wana forum kwa majina naitwa Twaha Mussa ninatafuta gari kwa ajili ya taxi yaani Uber Nina account zote Uber na bolt na ziko active kwa yeyote atakaye hitaji dereva napatikana kwa namba zifuatazo.

0657099950
 
Habar za majukumu wana forum kwa majina naitwa Twaha Mussa ninatafuta gari kwa ajili ya taxi yaani Uber Nina account zote Uber na bolt na ziko active kwa yeyote atakaye hitaji dereva napatikana kwa namba zifuatazo
0657099950
Ipo Toyota Sienta Itakufaa
 
Ipo Toyota Sienta Itakufaa
Toyota sienta nafikiri ina cc 1496 siyo mbaya inaweza ikafanyakazi japo mmiliki wa gari usimbane sana dereva hesabu iwe nafuu kuendana na uchumi wa TOZO mafuta bei juu account tozo bei juu na mmiliki wa gari ukiwa bei juu hakuna kazi apo itakuwa lawama daily
 
0656539177 dereva nina accounts zote mbili uber na bolt napatikana tegeta kwa ndevu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom