Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anayehitaji pharmaceutical technician tupeane taarifa hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya tena kama kichwa kinavyojieeleza, TRA wamwaga nafasi za ajira.
4 Reactions
66 Replies
16K Views
Kwanza najua kabisa ukishazaliwa mwanaume jua hakuna wa kukuonea huruma, kwahiyo pambana hadi mwisho! Ila Kuna pale mishe zote zinakwama kila unapogusa Ngoma ngumu. DUH hapa nawaza Leo siku...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Naitaji kazi yoyote tuu ntaifanya nna miaka 22 Naishi dar es salaam.. Naomba connection.. WhatsApp 0786756592
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa kama kuna aliewahi pata Hili tataizo anisaidie alivosaidiwa Email yangu niliotumia kujiunga na ajira portal iko dis abled means siwez kuitumia je kuna uwezekana ajira portal...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
VACANCY FOR THREE NUTRITIONISTS/HORTICULTURALISTS ADP Mbozi is Non-Governmental Organization operating in the Southern Highlands of Tanzania since 1986. This organization was registered as a Trust...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitwa Prince, Nina miaka 25, education level ni form four na ujuzi wa mapishi bila vyeti. Kwa yeyote mwenye kujua mchongo wowote ule naomba connection 0676790241
0 Reactions
7 Replies
856 Views
Wasalaam ,kwa Wanajukwaa wote imekuwa ni kipindi kirefu tangu vijana waajiriwe tangu mwaka 2018 ,sasa Tunawaomba Sana mhe waziri Atuangalie vijana tuohitimu mafunzo tangu mwaka 2020 hatujaajiriwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu madereva jaribuni bahati zenu. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
988 Views
Overview Global Animal Health Tanzania (GAHT), a legally registered NGO that is supported by Washington State University and collaborating partners in Tanzania, serves to manage a broad range of...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanapa wametangaza nafasi za kazi 48 kupitia sekretarieti ya ajira Leo. Vigezo ni cheti cha Form 4 na cheti cha JKT au certificate of Basic Technician in wildlife management . VACANCIES...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Deputy ERM Posted Date: 27-Oct-2021 Location: Kibondo, Tanzania Company: Plan International The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Habari wakuu?? Mm nimemaliza form four, moja kwa moja nikaitwa Kwenda chuo cha ufundi mbeya (MUST) chini ya government sponsorship, nimemaliza miaka 3, diploma yangu ya Mechanics, (FTC), hizi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa mimi ni binti wa miaka 25 naishi kibaha nipo mbele yenu nikiomba ajira mnisaidie naamini humu kuna watu mbali mbali pls nikomboeni mimi 😭. Elimu yangu ni stashahada ya utunzaji fedha...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kazi yoyote, elimu yangu form six nina Division One. Umri miaka 22 Nipo Dar es Salaam. Naomba connection
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wakuu. niko kwenye uhitaji wa msichana mwenye ujuzi wa kompyuta ili anisaidie katika goli langu jipya. biashara ipo. mshahara 100k chakula juu yake. malazi yapo. naomba msaada wenu. umri...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa? Najua humu kuna experts wa kila fani.so binafsi nilikua naomba kusaidiwa kupewa orodha ya maswali ya interview kwa wahasibu yanayoulizwa mara kwa mara na panelists both in...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Back
Top Bottom