Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari zenu wakuu, Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
2 Reactions
21 Replies
4K Views
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana familia ya jamii Forums ndugu yenu nna shida naimani naweza pata msaada kupitia nyinyi mimi kitaaluma ni dereva na nina driving licence yenye daraja A B C1 C2 C3 D E na nilisoma...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. Tanzania Commercial Bank is a...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
SOS Children’s Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care and protection organization that provides...
2 Reactions
0 Replies
849 Views
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is vested with the responsibility of Maintenance and Development of Trunk and Regional Roads Networks in Tanzania Mainland. The Agency is also responsible...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba mwenye connection pale national house natak kwenda kufanya volunteer pale katika kada ya store nimeitimim diploma ya manunuz nina uzoefu wa miaka zaidi ya 5 katika masuala ya maunuzi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kujua mambo ya kuzingatia kujiandaa na usahili wa uhamiaji anaejua tafadhali
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/=...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kijana atakae saidia katika kilimo cha bustani/shamba yenye nyanya, hoho, karoti, na vitunguu. Ukubwa wa bustani(shamba) ni heka moja iliyozidi au heka mbili iliyopungua. Awe anaweza shughuli...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Niko Mwanza Dereva muaminifu, nina leseni pia naomba kama kuna mmiliki wa daladala (hiace) tufanye kazi ndugu zangu. Uwa nafanya day worker baadhi ya madereva uwa wananiachia gari mara moja moja...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi ni kijana nahitaji kazi yoyote hata ya kuuza duka umri 21 Niko Moshi mawasiliano 0620890013
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam kwenu wadau. Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anahitajika kijana fundi wa kuchoma na kukaanga kuku barabarani. Eneo la kazi Kimara Korogwe, malipo maelewano. DM iko wazi.
0 Reactions
0 Replies
727 Views
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Habari. Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani. Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana. Aweze kuishi kirafiki kabisa, Nyumba ina...
16 Reactions
81 Replies
8K Views
PATH is a global organization that works to accelerate health equity by bringing together public institutions, businesses, social enterprises, and investors to solve the world’s most pressing...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site...
1 Reactions
1 Replies
800 Views
Back
Top Bottom