mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,338
- 12,471
Naomba kujuzwa juu ya viwango vya mishahara kwa watu wanaofanya kazi migodini wale wenye certificate ,diploma na bachelor katika mining ,mineral exploration kuwa mishahara yao inarange wapi