Superleta
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 466
- 538
Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe sikai nyumban najitegemea ila masimango nayoyapata kwenye simu na ndugu yananiuma sana.
Naonekana nilisoma tu hamna kitu nimeleta kila siku naulizwa kuwa nitapata kazi lini au kwani nilisomea nini mbona siajiriwi nabaki kusononeka tu
Hivi ndugu zangu wapi nitapata hata pa kujivolunter kwenye shirika lolote hapa Dar?Nipo tayari kujitolea kwenye shirika lolote tu walau na mimi nipate uzoefu tu na msongo wa mawazo upungue