Security interview - US Embassy

Eli24

Senior Member
Jan 1, 2018
165
361
Habari za Jioni wana JF,

Moja Kwa moja Naomba niende kwenye mada yangu napenda kufahamu kitu flani hvi- Kuna jamaa angu aliomba kazi US- Embassy hapa DSM na akafanya usaili wa kingereza akapita, akafanya usahili wa kazi yenyewe nayo ameonekana kupita maana ameshakabidhiwa conditional offer letter lakini cha kushangaza sasa hivi ameitwa kufanya security interview.

Nakuja kwenu kuuliza watu waliwahi kufanya kazi huku US embassy au usahili hvi hii security interview ikojeee na Je kama mtu anataka kujitayarishaaa material anapata wapi maana nimesearch naye YouTube na google mpk sasa ni bila bila.

Tunaomba msaada wenu wabobezi wa haya mambo.
 
Fingerprints wizara ya Mambo ya ndani wanacheck km amewahi kufanya uhalifu wowote
 
Fingerprints wizara ya Mambo ya ndani wanacheck km amewahi kufanya uhalifu wowote

Hyo ya finger print tayari ameshafanya tena ameenda kule morning police hq kinachobaki ndo hyo security interview tu Mkuu. Ndo nataka kufahamu ni interview ya namna gan
 
Hyo ya finger print tayari ameshafanya tena ameenda kule morning police hq kinachobaki ndo hyo security interview tu Mkuu. Ndo nataka kufahamu ni interview ya namna gan
We mwambie aende atajua huko huko watamwambia vya kuwapelekea hawanaga longolongo nyingi km unacho unasema ninacho km huna wanakwambia fanya utaratibu uwe nacho kisha tuletee tukuchunguze tusije tukawa tunafanya kazi na Jasusi au Gaidi
 
Ukosahihi wajifunze namna ya kukabiriana na majanga ama, (how to overcome uncertainty in life) and social inference
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom