Natafuta kazi, nina utaalamu wa kupika na kuchoma nyama

May 29, 2016
34
12
Habari wana jf mimi uzoefu katika vitu vifuatavyo

Kuchoma kuku zote
kuchoma nyama zote
kuchoma samaki
vilevile kupika local soup kama kongoro,vichwa vya mbuzi,samaki
vile vile kupika bites kama maandazi, chapati,doughnut, mikate

Mbali na hapo najua continental foods
najua marination ya beef,chicken,Fish
Najua kupika pizza, pastas
najua sandwich & wraps
baadhi yards salad najua kama Cobb salad,Caesar salad tex mex salad garden salad

Kwa sasa nahitaji sehemu mbili
1) ajira
2) sehemu ya kufanya training ya ballista na sea foods,Chinese foods
kama kuna aliyeyoko tayari please anitafute sihitaji kulipwa katika training
mawasiliano

0686 09 35 60
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom