Msaada kuhusu kutojumuishwa kwenye majina ya walioitwa usaili TRA

happy soul

Member
Oct 20, 2022
6
6
Habari zenu, naomba kuuliza, niliapply nafasi za tra mwezi june, wametoa majina na sijawa shortlisted, kwa yeyote anayeweza kujua nini ilikua shida anipatie majibu please, maana nimewapigia tra wenyewe wameshindwa kunipa majibu husika.
 
yani wala usijione ulikosea best yan mpka sisi wanafunzi wa chuo cha kodi tumekatwa tumeenda kulalamika na bado wametupa moyo kwamba watatoa majina mengne leo usiku au kesho ila kiukweli wameshindwa kumanage usahili kama.wawezavyo psrs utumishi
 
Umeenda kulalamika wapi?
 
Habari zenu, naomba kuuliza, niliapply nafasi za tra mwezi june, wametoa majina na sijawa shortlisted, kwa yeyote anayeweza kujua nini ilikua shida anipatie majibu please, maana nimewapigia tra wenyewe wameshindwa kunipa majibu husika.
Angaliaa kuna majina ya nyongeza yametoka,uenda jina lako limetokea this time
 
Attachments

  • ORODHA_YA_NYONGEZA_-_WAOMBAJI_WA_KAZI_TRApdff.pdf
    275.1 KB · Views: 12
Back
Top Bottom