Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Leo tunaamua kuvunja ukimya. Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila...
1 Reactions
14 Replies
421 Views
Founding Sales Development Representative (SDR) – Remote (Tanzania) Join the Founding Sales Team of an Australian Technology Company Location: Remote – Tanzania Company: My Wattle (Australia)...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Nimeajiriwa Halimashauri ya wilaya Kiteto kuanzia mwezi wa kwanza lakini mpaka leo pesa za kujikimu kwa watumishi wapya upande wa ualimu hazijatolewa mazingira magumu naomba mtusaidie kupaza sauti...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha...
1 Reactions
2 Replies
115 Views
Anonymous
Tunaomba Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam kulipa pesa za walimu wa muda (Part time Lecturer), DIT imekuwa na utaratibu wa kuchelewesha kulipa malipo ya part time Lecturer. Hii husababisha...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Anonymous
Kuna changamoto na imekuwa kero kwa Watumishi wa Umma, Watu wanaomba uhamisho kwenye mfumo wa ESS, mwajiri au mkuu wa taasisi anapitisha vizuri tu lakini sasa kule unapoomba request/application...
1 Reactions
1 Replies
146 Views
Anonymous
Nilikuwa mfanyakazi katika hospitali binafsi ya iliyopo Paje, Unguja, Zanzibar. Ninaidai hospitali hiyo malipo yangu ya mshahara wa mwezi mmoja, pamoja na malipo ya muda wa ziada wa kazi...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Serikali katika Idara ya Elimu. Nina changamoto ya kutohamishiwa taarifa zangu za kiutumishi na mshahara baada ya kuhamia Halmashauri nyingine kwa mujibu wa uhamisho...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Anonymous
Ombi la Msaada: Utekelezaji mbovu wa Sheria ya Maternity kwa Walimu Wakuu Habari Wadau Pole na hongera kwanza kwa kazi nzuri ya kutupa sauti sisi ambao hatusikiki. Nina kero ambayo inatuumiza...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Sisi ni watumishi wapya wa Idara ya Afya tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Mkoa wa Tabora. Awali tuliwasilisha malalamiko yetu kupitia JamiiForums.com kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Anonymous
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO) uliwasilisha taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kutotekelezwa kwa ahadi za Serikali na kutopatiwa majibu kuhusu changamoto zinazowakabili...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Kuna interview nimeitwa hapo kiwandani, mwenye idea na hicho kiwanda kuhusu hali ya maisha (huduma muhimu) huko, nimeambiwa kipo kibaha, vipi kuhusu utamaduni wa kampuni husika kama...
1 Reactions
20 Replies
375 Views
Anonymous
Halmashauri ya Jiji la Arusha, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema turidhike na hiyo hiyo maana kuna...
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Soma: Maswali ya Kujiandaa na Oral Interview TAKUKURU Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa...
0 Reactions
6 Replies
681 Views
Anonymous
Kwanza, napenda kuwashukuru kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuwapa wananchi nafasi ya kutoa maoni, changamoto na kero zao kupitia jukwaa hili. Ninaomba kupaza sauti kuhusu suala la malipo ya hela...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi Idara ya Kilimo Wilaya ya Bariadi kero yangu ni kuhusu Fedha ya Kujikimu, tangu mwaka 2025, Julai tulipo ajiriwa tumepunguzwa laki Moja tu kati ya laki 6, baadhi ya tulioingia nao...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Anonymous
Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Anonymous
Ajira Mpya Urambo Tabora, tangu January 2026 Idara ya Afya na Walimu hatujalipwa fedha za kujikimu, tukiuliza tunaambiwa fedha zetu hazijafika, zilizofika ni awamu hii ya mwishoni Ajira ya May...
0 Reactions
3 Replies
91 Views
Halmashauri ya Lushoto inachelewa kuwapa Watumishi Posho zao za kujikimu walioajiriwa Mwaka 2026, hivyo kufanya vijana kuishi kwa ugumu huku Ugenini. Wakati Halmashauri nyingine ndani ya Mkoa na...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Back
Top Bottom