Decruise
Member
- Oct 31, 2024
- 21
- 37
Habari za kazi ndugu wana jamii forum kwa majina naitwa mimi ni mhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji NIT katika kozi ya transport and logistic in road and railway.
Nimekuja jukwaani kwa lengo moja tu la kutafuta internship au kazi ya moja kwa moja ili kukuza carrier yangu. Nafasi ambazo na offer nikiwa kazini ni pamoja na transport officer, fleet manager, warehouse manager, clearing and forwarding officer na nafasi nyingne nyingi zinazo husu usafiri na usafirishaji
Napatikana kwa namba (0748971306)
Mimi ni mwanafunzi wa Shahada ya Usafirishaji na Usimamizi wa Logistiki za Barabara na Reli katika Taasisi ya Taifa ya Usafirishaji (NIT). Ni mtu mwenye bidii, anayejifunza haraka na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano na uwajibikaji.
Nina uzoefu wa mafunzo kwa vitendo katika usimamizi wa usafirishaji, shughuli za ghala na uhifadhi wa bidhaa. Pia nina ujuzi wa matumizi ya kompyuta, hususan MS Word na MS Excel, pamoja na uwezo mzuri wa mawasiliano kwa Kiswahili na Kiingereza.
Ninatafuta fursa ya kutumia ujuzi na maarifa niliyojifunza ili kuchangia maendeleo ya taasisi, huku nikiendelea kujenga taaluma yangu na kuongeza uzoefu wa kazi.