Connection ya Kazi

Connection ya Kazi

Liana N

Member
Joined
Jul 27, 2024
Posts
25
Reaction score
89
Habari wakuu!

Nilikua naomba konekshon ya kazi.

Tanzania hii, ila ikiwa Mwanza itapendeza zaidi.
Nimesomea mambo ya ustawi wa jamii(social work).

Mwnye fursa kwa unyenyekevu sana naomba unisaidie..
 
Asante kiongozi….nilkua ntmn kakazi ka ofsn kua km mkufunzi au afisa ustawi wa jamii…au nyng yeyote ila kua freelancer wa line ni ngumu kwangu nishakua freelancer miaka kadha ya nyuma…sasa ntmn nipate ya profession yangu..

Kila la kheri.
Na Nakushauri kwa sasa shikiria msimamo wako wa kutafuta kaz inayoendana na Taaluma yako.

Ila pia ukiona hazitokei basi utafute internship kwenye taasisi za Mwanza ili iwe rahisi kwako kwenye Malazi.

Lakin kwakuwa watafutaji ajira ni wengi. Ni vyema ukaiweka CV yako vizur iendane na kaz unayoiomba.

CV info ni moja.
Ila nyama nyama uwe unaongeza kwenye kila kaz unayoapply ili vilandane. Hii pia iendane na ujuzi wa kuandika Cover Letter.

Na cha mwisho. Shemej angu Seran ana paje hapa JF. Na pia tembelea websites za kazi pamoja na zile za recruitment agencies.

NB
Kazi yako ya Freelancer add kwa CV yako. Ni Sales and Marketing experiences.
 
Kwanini uliacha u-freelancer
 
Shule zitawafanya kuwa masikini, ukifikiria degree yako kazi zote za nguvu ni mateso
 
Habari wakuu!

Nilikua naomba konekshon ya kazi.

Tanzania hii, ila ikiwa Mwanza itapendeza zaidi.
Nimesomea mambo ya ustawi wa jamii(social work).

Mwnye fursa kwa unyenyekevu sana naomba unisaidie..
Subiri post za polisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom