Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ninawasalimu wote, hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu zuri sana la Tanzania. Ninatangaza mtafutaji wa kazi ambaye ni mimi mwenyewe, ninaishi Gongo la mboto mkoani Dar es salaam Elimu...
2 Reactions
10 Replies
347 Views
Wanajamiiforum naomba kufahamishwa salary scale PHTS 1.1 kiasi gani Tsh?
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Halmashauri ya BUCHOSA, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema tuandike barua na Kila tukiandika hakuna...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Habari nilikuwa nauliza Kwa wale watumishi wapya hasa utumishi wa umma chuo Cha mwalimu Nyerere walioambiwa watapigiwa simu ... Vipi washapigiwa simu maan ni week ya pili Sasa kimya ?
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu...
1 Reactions
6 Replies
139 Views
Niende kwenye mada samahani Mimi niko Dar pls nahitaji kama kuna mtu anaweza kunisaidia kazi au kibarua nataka zile kazi ngumu lengo nataka nimake ndani ya miezi miwili nipate milioni moja so...
11 Reactions
80 Replies
1K Views
Usiache kuomba na kama una changamoto ya mfumo wa ajira portal tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida) Au 0792715343 unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila...
3 Reactions
6 Replies
224 Views
Anonymous
NSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana jamii forum. " Bro, naomba kujua kuhusiana na kozi ya Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba), kuanzia kwenye chuo kizuri kinachotoa hiyo kozi (kwa vitendo zaidi) ...
0 Reactions
4 Replies
81 Views
Naomba kueleweshwa, Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization? Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
Anonymous
Mfumo wa ESS utumishi wamesindwa kuruhusu walionufaika na mkopo kuulipa kwa kuuzia bank madeni hayo. Sijajua wanakwama wapi kiasi hicho wakat kabla ya mfumo walikua wanaruhusu. Imekuwa ni kero...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
1. CAREER COACH Element Description Primary Focus The Driver (You) What They Assess Your skills, experience, interview performance, and career direction. What They May Not Assess The internal...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous (9713)
Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari,mimi ni dereva wa daraja la pili,umri miaka 32 natafuta kazi,kwa mwenye uhitaji namba za simu 0659972797
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Kuna kampuni fulani ya masuala ya mafuta, tumeitwa watu kama watatu hivi kwa nafasi ya uhasibu. Hawa jamaa ni wakarimu mpaka basi, kwanza tumefika tukapigwa breakfast heavy, hatujakaa sawa...
19 Reactions
36 Replies
798 Views
Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua: 1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Habari za muda huu wadau! Mimi kama muhitimu wa elimu ngazi ya shahada, nimekua nikitafuta kazi katika taasisi binafsi bila ya mafanikio. Hivyo basi nikaona angalau niombe kujitolea katika...
5 Reactions
34 Replies
11K Views
NIMEWALETEA MFUMO MAMA WA KUKUFANYA UJITOFAUTISHE NA COMPETITORS WAKO KWENYE UFANISI WA UTENDAJI KAZI WAKO. SOMA HII: Forwarding and clearing software
0 Reactions
3 Replies
100 Views
Habari! Wana Jf Naomba support yenu Kunipigia kura katika mashindano ya miss charm Africa 2026 niweze kuwakilisha nchi katika ubunifu Namna ya kupiga kura, bonyeza hii link hapa chini...
3 Reactions
0 Replies
56 Views
Leo tunaamua kuvunja ukimya. Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila...
1 Reactions
14 Replies
421 Views
Back
Top Bottom