kazi inatafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kazi inatafutwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by envio, Jul 22, 2011.

 1. e

  envio New Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari ndugu zangu,natumai kuwa mu wazima na Mungu anawasaidia.nina mdogo wangu anatafuta kazi yoyote ya kufanya kwani ametafuta mpaka amekata tamaa. Yeye amemaliza form four na kupata division 4 ya 32.amereseat lakini hajafanikiwa.lakini amesomea secretarial course stage 1 and 2. anataka kurudia tena kureseat lakini mama yake hana tena hela ya kumsomesha.nilikuwa naomba kama kuna yeyote anaweza kumwajiri au kumtafutia awasiliane kwa namba 0762369068. naomba tusaidie kwani duniani ni kusaidiana. shukrani.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kazi inatafutwa? :mod:

  watakuja kukusadia
   
 3. k

  kakolo Senior Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mkuu sema umri na anakaa wapi?
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kazi za ndani ataziweza?
   
Loading...