Msaada wana jf. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wana jf.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tanganyika1, Jul 22, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 384
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ni matumaini yangu kuwa afya zenu ni nzuri na mungu anaendelea kuwabariki. Mimi ni nimemaliza shahada ya biashara na uongozi, (bachelor of buriness administration). Shida yangu ni kupata nafasi ya kujitotlea kwenye taasis au kampuni yoyote inayoendana na masomo yangu ili nijenge uzoefu wa kazi. Kwa yeyote anaye weza kunisaidia naomba ani mp. Natangulliza shukrani zangu.
   
 2. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mwaka huu!..
   
 3. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 384
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ndio mwaka huu.,...avatar acha utani basi, watu tuko seriou hapa.
   
Loading...