MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,752
- 5,497
wadau mnaweza kufungua website ya BOT. Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania
Wanaoitamani wajaribu maana naona kama formality tu kuna limjamaa pale linasubiria muda tu apewe barua!!zengwe
<br><br>Kwa mtindo huu hutakuja kupata kazi nzuri hata siku moja. Acha woga, acha kuamini maneno ya mitaani. Najua huwezi amini unachoambiwa lakini kama una sifa omba, kama huna sifa usiombe utapoteza muda. Manake hilo hiyo kazi mtu hakupatikana hadi limekuwa tangazo limerudiwa. Wanaoitamani wajaribu maana naona kama formality tu kuna limjamaa pale linasubiria muda tu apewe barua!!zengwe
jipe moyo!!!acha uoga wewe. you will loose nothing if u appy, but if you don't its like you have choosen zero possibility. Just do your part and let God do his part