Je kuna mtu amesikia lini TAKUKURU watatangaza AJIRA?

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
420
Samahani wakuu mwenye taarifa au alieko karibu na hawa wakuu wa PCCB ajaribu kuulizia ni lini watatangaza hizo Ajira,natanguliza shukurani kwenu nyote
 
nilisikia watatangaza mwaka huuu, pia za state attorneys kama wewe ni mwanasheria....uliye na uzoefu wa prosecutions, sio fresh from skulli...
 
Hii kitu ya uzoefu hii mimi kiukweli siipendi. Mtu atapata vipi uzoefu kama hatapewa nafasi ya kuajiriwa? Utadhani hao wenye uzoefu walizaliwa nao.
 
Jaman uzoefu si ndio field mbna wanatuzngua nduguzangun huo uzoefu ntaupata wapi?
 
Hii kitu ya uzoefu hii mimi kiukweli siipendi. Mtu atapata vipi uzoefu kama hatapewa nafasi ya kuajiriwa? Utadhani hao wenye uzoefu walizaliwa nao.
Mkono mtupu haulambwi,hivi hujui kama ajira za siku hizi ni kupeana?
 
nilisikia watatangaza mwaka huuu, pia za state attorneys kama wewe ni mwanasheria....uliye na uzoefu wa prosecutions, sio fresh from skulli...
Thanks wakuu,kazi ipo kwenye uzoefu kwani ndio juzi nimemaliza Udom but thanks mkuu
 
Samahani wakuu mwenye taarifa au alieko karibu na hawa wakuu wa PCCB ajaribu kuulizia ni lini watatangaza hizo Ajira,natanguliza shukurani kwenu nyote
unapenda shari? unajua kupanga ngumi kaka?au kuna mla rushwa unamjua ndo unamvutia kasi? kama afya yako mgogoro sikushauri coz awali wana training za nguvu ili uweze kutimiza wajibu,zikitoka utajuzwa usiwe mbali na source za habari
 
Wala usijali mkuuntakua mvumilivu
 
Tembelea website yao mara kwa mara, hakuna upendeleo katika ajira zao,ila jiandae kwa mazoezi ya karate,judo na ya kijeshi,all the best!
 
Back
Top Bottom