Kuitwa kwenye usaili AAR Health services | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kwenye usaili AAR Health services

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by delly, Jul 25, 2011.

 1. d

  delly Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wengine bwana wanatuma emails za taarifa za interview kwa waombaji wa ajira wakati sio wahusika wa AAR HEALTHY Services. Hii inakuaje? inamana applications za hapa online documents zinakuwa open kwa kila mtu? huyo dada anaitwa nancy
   
 2. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu yapi yamekusibu,sijakuelewa! Umetapeliwa au umeombwa hongo?
   
Loading...