Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu Heri ya Mwaka Mpya. Kwa wale wenye sifa tajwa hapo juu ajira zao zimetoka kwenye gazeti la Mwananchi. Nimeshindwa kufungua tovuti ya wizara ya Kilimo ili niweke hapa hayo majina kwa sababu...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Uzoefu ninao zaidi ya miaka 3,nipo dar,contact me;0717 776981
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mwenye taarifa zozote kuhusu nafasi za kazi bagamoyo research and training unit anijulishe
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Commercial (Sales and Marketing) Closing date January 20, 2012 Diageo Africa operates in over 40 markets across Africa through various business models including publicly quoted...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A private Company in Uganda seeks to employ a good Chef for a period of 3 months to help train local staff. He/she must be fluent in English Good at pastry ,soup,making English dishes and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi. Fundi anahitajika haraka sana, Kama kuna fundi wa kuezeka bati kwenye paa tofauti tofauti anipe taarifa. 0654 197 389 Thanks
0 Reactions
0 Replies
2K Views
COMPETENT TEACHER is highly needed to teach Basic Mathemetics (O-level Mathematics) in a reputable learning Institution. Qualifications: At least Form IV education with at least three credits, at...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
DUTY STATION: Peacekeeping Missions CHIEF PROCUREMENT OFFICER/CHIEF OF SECTION (P-5) CHIEF PROCUREMENT OFFICER/PROCUREMENT OFFICER (P-4) PROCUREMENT OFFICER (P-3) The United Nations seeks to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
EAST AFRICAN COMMUNITY LAKE VICTORIA BASIN COMMISSION SECRETARIAT The East African Community (EAC) through the Lake Victoria Basin Commission (LVBC) Secretariat is coordinating the implementation...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu,jaman hv kuna mwenye feedback za field reseacher.kuna nafasi zilitangazwa kuwa wanahitajika field researcher 10.mwenye taarifa atujuze plz.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamii natafuta kazi ya kufundisha sekondari au vyuo vya ualimu binafsi.Nina diploma na bachelor ya elimu kwa masomo ya lugha(kiswahili na kiingereza).Nipo Shinyanga.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Friends, Ninahitaji Meneja wa Kusimamia shughuli za Kampuni inayojihusisha na ushauri wa biashara (Business Consultancy) iliiyopo Dar. Sifa awe shahada ya kwanza na kuendelea, pia aelewe mambo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani tusaidiane kwa hili ndugu zangu wa JF, kuna kazi naifanya ya Sales ya kuuza software,hardware,solutions,saver za aina zote,printer za aina zote,laptop aina zote,desktop aina zote,catrige za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello i am working with an American company, currently expanding to Dar es Salaam and we are looking for open minded people,interested in business that would like to earn an extra income per...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hello! wana jF Salaam. natafta kazi kama mwl wa masomo ya biashara kwa maana ya ACCOUNTANCY/BOOK KEEPING, ECONOMICS & COMMERCE! Kwa yeyote mwenye shule au anaejua kwenye uhitaji wa mtaaluma wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa anetaka uwakala wa airtel money piga hizi namba 0717474257 (usishangae namba ni ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo naendelea kutumia namba yangu ya tigo though workng 4 airtel) .kinacho...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
wadau eeeeh,kwa wale wanaotaka kazi za ukweli tena hata mbele,ingieni kwenye website ya www.standardcharted.com/careers,hawajamaa sio wababaishaji kabisa kwanza hawana staili za kuvutana mkono,mm...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
ndugu waliopata kazi tra assistant tax officer tunatakiwa turipoti lini na wapi? maana wametuma barua bila kuonyesha report date na wapi! thanx
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom