Mshiiri JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 2,012 Reaction score 516 Jan 10, 2012 #2 Nenda mwenyewe. Huko kuna maduka gani ya kufanya manunuzi. Acha ujinga. Huyu akae mjini na kutuma vitu kwa ndege ama cruza zenu.
Nenda mwenyewe. Huko kuna maduka gani ya kufanya manunuzi. Acha ujinga. Huyu akae mjini na kutuma vitu kwa ndege ama cruza zenu.
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,146 Jan 10, 2012 #3 Myelife said: I need a purchase manager with expirience please email me through hash.rajab@gmail.com Click to expand... nina qualification ila sina experience...unasemaje
Myelife said: I need a purchase manager with expirience please email me through hash.rajab@gmail.com Click to expand... nina qualification ila sina experience...unasemaje
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 327 Reaction score 63 Jan 10, 2012 #4 uzushi mtupu hamna lolote tu kuwachanganya vichwa watz!..
herrypeter1 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2009 Posts 223 Reaction score 30 Jan 11, 2012 #5 Jamaa anataka aone sample za c.v za watu ili aweze kuandika yake