standardcharted bank

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
9,573
10,276
wadau eeeeh,kwa wale wanaotaka kazi za ukweli tena hata mbele,ingieni kwenye website ya www.standardcharted.com/careers,hawajamaa sio wababaishaji kabisa kwanza hawana staili za kuvutana mkono,mm niliomba post fulani hv wakaniita kwenye online interview,nimeshindwa mwenyewe,nilipata 14/20 kwa kuwa ilikuwa ni ya dkk 25 hvyo muda ukafika nikawa cjamaliza maswali yote kujibu baadae wakanitumia mesegi kwenye email yao kwamba nijaribu next time
 
kwani lazima upate zote ndo uajiriwe mkuu?
 
ukipata zote unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuitwa mara ya pili kwani waombaji ni wengi sana na wengine wapo fit mbaya,hawa jamaa maswali yao mengi ni ya hesabu,hasa za charts,graphs n.k,ila yanajibika,ukiwa na speed nzuri ukafanikiwa kumaliza,itakuwa kheri kwako mkuu
 
huo ndo usanii kama hujui. Std kuvutana ni kama kawaida yao,tangu nione izo online hakuna aliyewai kuajiriwa kupitia izo online aptitude test kwa benki uliyotaja. Ila nawajua wengi waliokokotana kuingia huko. Tusijidanganye!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom