Wana jf naombeni ushauri please!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf naombeni ushauri please!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KANCHI, Jan 11, 2012.

 1. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nimepata kazi katika chuo kikuu kimoja kama tutorial assistant na pia bado nasubiria ajira za serikali (ualimu) naona zipo karibu pia.Sasa nipo njia panda niende kupiga mzigo katika Chuo hichi au nisubirie za serikali nadhani mnafahamu faida za kuwa serikalini.

  Ahsanteni sana!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Maslahi yanafanana?
  Work-schedules na work-load zinafananaje?
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  We unanishauri niende wapi mkuu, maslahi sio siri hayafanani.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ngoja ngoja yaumiza matumbo alafu mambo hayakawii kubadilika mkuu.
  Nenda kapigishe pindi katika hiko chuo, huko Serikali patajulikana mbele kwa mbele.
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nenda palipo na maslahi!
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  Na imani kwamba chuoni kuna maslahi kuliko shule za serikali.
   
 7. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nenda kwenye chuo ukawe T.A,
  huko kwingne achana nako
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  shtuka mkaka,kimbia fasta!!
   
 9. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  kapige mzigo wa T.A mkuu ,kazi za JK saiv hazina maslahi utasubiria hlf utaishia kufa njaa.....stuka acha kuremba.
   
 10. JS

  JS JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nenda hiyo ya T.A kwanza ujijenge upate experience. Serikali will come baadae
   
 11. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nashukuru sana wakuu kwa USHAURI wenu.
   
 12. N

  Naitwa Nani Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia maslahi Kaka!!
  Nenda kaanza maisha huko wakati unapata experience then later on utajiunga na serikali!!
  Na advantage ya chuo pia wanaweza wakakusomesha ndo huwaga program zao hizo!!
  KAPIGE KAZI KAKA!!
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​we unaonaje?????
   
 14. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Me naona bora CHUONI mkuu
   
 15. T

  TUMY JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nitakuwa nimekosea utaniwia radhi mkuu, umesema umepata kazi katika chuo kikuu kimoja kama T.A, lakini wakati huo huo unasubiri kazi ya Ualimu toka serikalini, napata wakati mgumu kidogo kutokana na maelezo yako kwa sababu moja kuu, serikali huwa haiwapangii kazi walimu kwenda kufundisha vyuo vikuu labda kama utaratibu umebadilika ama ni kutokujua kwangu ila nijuacho mimi serikali huwapanga walimu wa sekondari na sitaki kuamini kwamba Ajira ya serikali unayoisubiri ni kwenda kufundisha A-Level.

  Other things remain constant, ulicho nacho mkononi ndio chako.................. nenda kafanye kazi zikitoka hizo za serikalini utaangalia ulikopangiwa na mkataba wa hapo ulipo ukoje then itakuwa rahisi kufanya maamuzi.
   
Loading...