Manager needed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manager needed

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MarkD, Jan 11, 2012.

 1. M

  MarkD Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Hi Friends,
  Ninahitaji Meneja wa Kusimamia shughuli za Kampuni inayojihusisha na ushauri wa biashara (Business Consultancy) iliiyopo Dar. Sifa awe shahada ya kwanza na kuendelea, pia aelewe mambo ya ujasiriamali, awe na uewelewa wa mambo ya utafiti (data collection techniques). Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0712 066 064 au 0753 12 54 74
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ubarikiwe kwa post yako mkuu!
   
Loading...