Waliohitimu Stashahada na Astashahada ya Kilimo Ajira zao zimetoka leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliohitimu Stashahada na Astashahada ya Kilimo Ajira zao zimetoka leo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by SG8, Jan 6, 2012.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Wakuu Heri ya Mwaka Mpya.

  Kwa wale wenye sifa tajwa hapo juu ajira zao zimetoka kwenye gazeti la Mwananchi. Nimeshindwa kufungua tovuti ya wizara ya Kilimo ili niweke hapa hayo majina kwa sababu eneo nilipo mtandao unanisumbua kidogo.

  Waliobahatika kuajiriwa hongereni sana, mnatakiwa kuripoti kwenye vituo vya kazi ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo/kupata barua ukiwa na vyeti vyako vyote vya taaluma husika.

  Goodluck
   
 2. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  naomba soft copy ya tangazo, au weblink
   
 3. B

  Brother Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwananchi ya leo ijumaa januari 6 2012 page za kati.
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hongereni, sijui siye maafisa ugavi zamu yetu lini?
   
 5. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  soft copy mkuu
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Na Mungu awatangulie ktk kazi zenu

  na wote tuseme Amen...
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  nyie sahauni.
   
 8. E

  Ekwilibriamu Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ..mwenye majina hayo tunayaomba maana nimechek kwenye web yao cjayaona!
   
 9. knownless

  knownless Senior Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndugu zangu walimu zao zinatoka lini?
   
 10. B

  Brother Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpango mzima gazeti la mwananchi jana, wengine I-phone zetu haziwezi kuweka link.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  usihukumu nawe hutaghukumiwa,nasema hivii si bado upo chuo.....ni UTALIA NA KUSAGA MENO.
   
 12. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Longolongo zmekua nyingi mno ila nmeambiwa watatoa kwa Batch na wataanza na BA ed na watu BSC hawa BED na wengne baadae kidogo
   
 13. A

  Agrodealer Senior Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wajameni sijapata hayo majina nisaidieni kwa aliyeyaona plzzzzzzzz
   
 14. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wana jf mliopata hongereni

  Nendeni mkalete mabadiliko na siyo mnakuwa wazembe, walalamishi, wala rushwa alafu mnabakia kupiga porojo na siasa mkiwanyoshea vidole mafisadi kumbe huo nao ufisadi

  Kawatumikieni wananchi kwa moyo, mkibadilika mkapiga kazi kwa adabu na bidii ndo mabadiliko ya kweli yatakuja.
  Porojo tu za kulaumu hazitoshi kama wewe hujabadilika
   
 15. Baba Ziro

  Baba Ziro Senior Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ok, tutachapa kazi haswa ili watanzania hasa wakulima waone umuhimu wa kilimo.
   
 16. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hapa hapa ndiyo huwa graduates wa SUA wanajibebea ushindi wa mezani!Nadhani so far ni chuo kikuu pekee kinachotoa shahada zinazokidhi mahitaji ya kazi hizo za wizara ya kilimo.Hongereni mliopata kazi tunategemea mabadiliko ya kweli ya kilimo kutoka kwenu siyo siasa iliyopo sasa hivi!
   
 17. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Kwani SUA wanatoa Astashahada na Stashahada? Nafikiri sivyo!!!!!
   
Loading...