Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ni mara chache kukuta watanzania wanaungana kwa nia moja kufanya jambo fulani ivyo basi ata viongozi wetu wamekuwa ni wakujificha katika kufanya vitu, siku zilizopita nilikuwa BRELA alikuja mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam zenu wanajamvi Tafadhali kwa mwenye orodha ya walioitwa kazini TRA kwa zile nafasi za tax officers atujuze wajameni :juggle:
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mwalimu wa uchumi na bookeaping anahitajika haraka. Send email to mtamanyali@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Get Paid to Turn on Your Computer. Make no mistake. this is a multi-billion dollar project. It has been in the making since 2007 with over $2,000,000 already invested. It's the new...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mimi ni mwingoni wa watu waliofanya written interview jana ila habari za uhakika toka ndani ya NSSF mawaziri wa nchi kibao wamepeleka majina ya watu wao wasidhani hii tz ya mwaka huo sasa ni zama...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
wadau mambo zenu, heri ya mwaka mpya, naomba kujuzwa kuhusu interview ya ppf Saccos vipi wameshaita second round?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimechoswa na gazeti la daily news ambalo nilifurahi kukuta ndani kuna tangazo la nafasi za kazi TRA lakini wameweka vigezo kuwa graduates wanaotakiwa ni waliomaliza Bachelor mwaka2011 na wale...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mbona kimya, au ndio kama kawaida?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
...inayojishughulisha na masuala ya Kilimo na/au Elimu tuwasiliane tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello wana JF! Ndugu zangu nina Bachelor in IT(BSCS) na natafuta wadau wa IT wanaotaka kuongeza knowledge kwenye JAVA, C, C ++, C#, PL, AJAX, PHP, MySQL, HTML,XML, LINUX, CSS, JAVA SCRIPT na WEB...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
habari wana JF, Dereva mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 anapatikana,,aliyemaliza form four,leseni class c mpya,CERTIFICATE IN GENERAL BASIC SKILLS IN MOTOR VEHICLE kutoka VETA,,ADVANCED DRIVERS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We are looking for someone with good knowledge on either CakePHP or Yii PHP. We have one month project, if you are the right person and interested on this please contact us through info@softlink.co.tz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaamu zenu wadau! Nimepata barua kutoka watu wanajiita EUROPEAN & AFRICAN DEVELOPMENT FOUNDATION (INC) (East Africa Ltd), kwa kazi niliyo apply hapa Dodoma. Nitaifupisha kama ifuatavyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye MSc Finance & accounting. anaomba msaada popote aweze...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Finance Manager at Surface and Marine Transport Regulatory Authority(SUMATRA) in Dar Es Salaam Performance Auditor II (Information Systems Auditor) at Surface and Marine Transport Regulatory...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
A qualified quantity surveyor is available for full or part time job in construction firms
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF naomba kujua viwango vya mishahara katika salary scales zifuatazo: {1}TGS A {2}TGS B {3}TGS C {4}TGS D Angalau izo tu .Naomba anayejua aninidadavulie plz
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau nimeitwa oral interview UDOM, kwa upande wa Lab Engineer, kwa waliofanya ile ya writing wawe karibu na simu zao. Pia kwa anayejua kuhusu hii nafasi na benefit zake tafadhali anijuze.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wa jf km m2 anainfomation na kazi za namna hyo tupeane tarifa to phone # 0757922293. Elimu yangu ni km ifuatavyo degree moja ya udom ambayo ukiconvert ni sawa na certificate yyte vyuo vingine vya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wadau nauliza kama oral interview kcmc imefanyika maana walitoa nafasi za kazi deadline 31.11.11 nashangaa mpaka sasa kimya au walishafanya mtujuze maana udom nasikia tayari upande wa afya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom