Natafuta kazi ya ualimu masomo ya business:{ account,ecomics,book kepng & commerce} | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya ualimu masomo ya business:{ account,ecomics,book kepng & commerce}

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by elia mgina, Jan 10, 2012.

 1. e

  elia mgina Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello! wana jF Salaam. natafta kazi kama mwl wa masomo ya biashara kwa maana ya ACCOUNTANCY/BOOK KEEPING, ECONOMICS & COMMERCE! Kwa yeyote mwenye shule au anaejua kwenye uhitaji wa mtaaluma wa namna hiyo naomba information. Nimehitimu Tumaini-unvst 2011> Business Administration with education (BBA-Ed) GPA iko vizuri!

  Kwa yeyote atakaenipa taarifa ni kwa kupitia namba: 0752887166 au post the feedback to the wall!

  ####### ASANTENI! ############
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Nenda Perfect Vision......wanahitajisana walimu
   
Loading...