Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wakuu, mimi nimemaliza chuo Ardhi, mwaka huu BSc. Building economics , yaani Quantity Surveyor in professional so natafuta kazi kwa makampuni ya ma contractors, engineers na consultant...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ok mimi ni muelewa mada tuitoe kama ina uchochezi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibu miezi miwili iliyopita watu waliitwa kufanya interview pale NHIF,lakini kilichotokea hawakuwaita wale watu wote waliofanya interview ile,badala yake waliamua kuwaita wale watu waliowahi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
wakuu kuna nafasi mpya wanazipost sasa kweye tovuti yao ajira.go.tz ila kitu kilichonishangaza juu ya utendaji kazi wa hawa jamaa eti wanasema mtu aliyeapply nafasi zile za mwezi wa tano ambazo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
HELLOW WATANZANIA, MIMI NI KIJANA MTANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 25, KWA SASA NASOMA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO SHAHADA YA KWANZA YA MAWASILIANO YA UMMA (BA. IN MASS COMMUNICATION)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unaweza itwa pale kwaajili ya interview na ukafunika kumbe unasindikiza tu!!!Niwafanyakazi wa serekari kunaweza kukawa na nafasi moja wakaita watu kumi,Kuna umuhimu gani wakuniita kama unajua...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Wana JF Kama Majina Ya Zima Moto Yametoka Kwaajili Ya Usaili Naomba 2peane Habari Jamani.... 2po 2lioomba Iyo Kazi!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Document Details | TANGAZO LA KAZI 29 Juni 2012 (Swahili)
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Habari wanajamii, Kwa wale wapenda maendeleo na wapenda kujifunza, naomba niwakaribishe kwenye "presentation" itayofanyika leo jengo la Millenium towers dar es salaam. Hakuna kiingilio chochote...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Job Opening number: 12-LEG-RMT-24248-R-ARUSHA (R) United Nations Core Values: Integrity, Professionalism, Respect for Diversity Organizational Setting and Reporting The post is located in the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
IPA Africa Ltd. is currently expanding and securing new contracts in a range of fields, which is why we are looking for International and local specialists in the following area: Procurement...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
The International Health Division is committed to the improvement of health and healthcare delivery around the world. Serving both the public and private sectors, our efforts include health...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Jamani nisaidieni hata sehemu ya kujishikiza maana nimekaa hadi nasahau nilichosoma, nina advance diploma in accounting nimetafuta kazi sana tu, nipo mbeya,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman wenzangu mlioomba nafas ya kaz ktk ngo ya maarifa ni ufunguo inayohusika na mazingira kwan wameshaita watu kufanya usaili?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Document Details | TANGAZO LA KAZI 29 Juni 2012 (English)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wanaotafuta ajira hasa gradutes naomba mjihadhari na Tapeli huyu anaejiita Lilian Kisanga..Alitoa tangazo la Internship kwenye blog moja maarufu ,watu wakatuma CV lakini response zake...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu zangu watafutaji wa ajira, site ya zoom tanzania najua inasumbua wakati mwingine kwa kubandika kazi bila kuwa na contact aina yeyote.ikiwemo mail wala phone numbers na boz zao ni uongo mtupu...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/B/182 29 1 th June, 2012 VACANCIES ANNOUNCEMENT The Public Service...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kwa wale wanaotafuta ajira hasa graduates jihadharini na huyu tapeli anaejiita Lilian Kisanga..Alitoa tangazo last week la internship Nicaragua kweye blog moja inayoheshimika..Watu wakatuma CV...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SEKRETARIATI ya ajira ilipoanzishwa moja ya lengo lake ilikuwa ni kuajiri watu wenye sifa ikiwa ni pamoja na kupunguza urasmu uliokuwa ukitokea wakati taasisi zinazojitegemea na mamlaka za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom