Huu ndio upumbavu wa ZoomTanzania...!

Lazarus

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
365
88
Ndugu zangu watafutaji wa ajira, site ya zoom tanzania najua inasumbua wakati mwingine kwa kubandika kazi bila kuwa na contact aina yeyote.ikiwemo mail wala phone numbers na boz zao ni uongo mtupu alafu unakuta imematch fani yako. UFALA HUU SIYO BAHATI MBAYA BALI NI MAKUSUDI ILI WAENGEZE VIEWERS KWENYE WEBSITE YAO. MUNGU AWALAANI WAFANYAO HAYA.!!
Mfano ni huu:
ZOOM.PNG ZOOM.PNG
 
Mmmh!!Umelisoma vzr hilo tangazo lkn?mi mbona nimeona contact hapo chini kabisa,au contact ni email na phone no. tu?Jipange sometimes acha majungu.
 
Ndugu zangu watafutaji wa ajira, site ya zoom tanzania najua inasumbua wakati mwingine kwa kubandika kazi bila kuwa na contact aina yeyote.ikiwemo mail wala phone numbers na boz zao ni uongo mtupu alafu unakuta imematch fani yako. UFALA HUU SIYO BAHATI MBAYA BALI NI MAKUSUDI ILI WAENGEZE VIEWERS KWENYE WEBSITE YAO. MUNGU AWALAANI WAFANYAO HAYA.!!
Mfano ni huu:
View attachment 57573View attachment 57573

haina kwere, Nabii suleiman endelea kuwalaani zoom kwa we kukosa kazi, nunua magazeti basi,
 
Last edited by a moderator:
Watu kweli hatuna shukurani, yaani ndg yangu kabla hujapata kazi unaanza nyodo je ukipata so itakuwa taabu. Tujifunze jamaa kakabiliana na stress maana wala hilazimishwi kupitia zoom kujua kama kuna nafasi za kazi.
 
Sometime but not all the time kasoro huwa zipo ila zoom wanajitahidi.lakini kwa hilo tangazo aliloweka mimi ninalo gazeti hapa(hard copy) liko hivyohivyo na post box tu,labda kama mtoa hoja alikua amegeneralize makosa ya zoom ila kwa hio attachment wako sawa,si lazima kila tangazo liwe na email .
 
Jamaa amekurupuka..nimeanza kuangalia shots alizoziweka kabla sijasema maelezo yake sikuona tatizo liko wapi..
 
Mmmmhh pole sana ila hapa kazini walitoa kazi lontime kweli na watu walishaanza kufanya kazi tayari nikashangaa kama wiki mbili zilizopita eti wkarudia tena kutangaza hizo post, ofisi nzima ikahamaki na kuanza kuulizana kama hawa Staff wamepigwa chini au imekuaje? yaani ilikua full kizunguzungu, wakaripoti kwa HR jamaa kawaendea hewani wao wakasema eti waliajiri mtu mgeni so amekosea!!!!!!!!!!!!!
 
haina kwere, Nabii suleiman endelea kuwalaani zoom kwa we kukosa kazi, nunua magazeti basi,

Jamaa wanatusaidia sana..mimi nilishawahi kuitwa kwenye usaili na maombi nilituma kupitia zoomtanzania.co.tz sema ndo hivyo jamaa hao waliniahidi kampunga kadogo nikaachana nao..
 
zoom some time wanaboa kwa mfano wengine cm zetu hazisomi pdf,lkn wakati mwingine unambiwa soma job description kwenye file,hapo tu ndo naona kero yao
 
Jamaa wanatusaidia sana..mimi nilishawahi kuitwa kwenye usaili na maombi nilituma kupitia zoomtanzania.co.tz sema ndo hivyo jamaa hao waliniahidi kampunga kadogo nikaachana nao..
zoom wanasaidia sana , Rogi.....sa jamaa ana anawalaumu tu , kama anaona hawamsaidii si anunue magazeti
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu watafutaji wa ajira, site ya zoom tanzania najua inasumbua wakati mwingine kwa kubandika kazi bila kuwa na contact aina yeyote.ikiwemo mail wala phone numbers na boz zao ni uongo mtupu alafu unakuta imematch fani yako. UFALA HUU SIYO BAHATI MBAYA BALI NI MAKUSUDI ILI WAENGEZE VIEWERS KWENYE WEBSITE YAO. MUNGU AWALAANI WAFANYAO HAYA.!!
Mfano ni huu:
View attachment 57573View attachment 57573

Hilo Tangazo nimeliona kwenye gazeti liko sawa na la zoomTanzania sasa tatizo lako nini? Acha ubandidu ndugu yangu mbona unawaonea zoom?
 
Never apologize for showing feeling. When you do so you apologize for truth
:thinking:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom