Wana JF leo nimepigiwa simu kuhudhuria semina Holiday inn ijumaa. waliwah kutoa kazi zamani sana nikawatumia CV tu. sikumbuki hata wana dili na vitu gani hawa jamaa. tafadhali kama kuna mtu...
PWC wamenipigia simu wakiniarifu kuhudhuria graduate recruitment itakayofanyika siku ya ijumaa saa 8.00 mchana holliday inn hotel.Wana jf mwenye dondoo zozote za hawa PWC azianike.
Wana JF naomba msaada wenu,hivi kwenye usaili wa kazi ukiulizwa "unataka tukulipe mshahara kiasi gani?". kwa hapo jibu zuri ni lipi?, labda kutaja mshahara wa juu sana au inakuwaje ili ufaulu...
hellw waungwana ,samahan ninaomba kufahamishwa kuhusu hili swala.mimi nikijana nliyemaliza certificate in law chuo cha mzumbe nlitegemea kuendlea nadiploma lakn ikashndikana kutokana nakukosa...
natafuta kaz yeyote inayoendana na field yangu nina degree ya sociology. kwa yeyote mwenye kujua wap naeza pata pa kujshkiza hasa mikoa ya kaskazin anijulishe tafadhali
ARUSHA!! ARUSHA! ARUSHA!
Are you a woman who's hungry for SUCCESS? who's tired of leaving paycheck to paycheck? LOOKING for something Extra to generate Multiple Streams of Income?
Then...
kwa heshma wanasalimu wote wana jf
update zilizonifikia hapa punde soon watu wataitwa kwa interview ila applicants ni wengi sana . kwa hali ilivyo bora watu tufikiria outsides ths box for rilly...
Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo :
1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45.
2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea.
3...
1. Mimi ni Mtanzania, nimekuwa nikiisikia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Je, naweza kufahamishwa majukumu ya Sekretarieti ya Ajira kwa ujumla ni yapi?JIBU
Sekretarieti ya Ajira...
Wanajanvi kuna kitu hapa kwenye mkataba wangu wa kazi nahisi hakipo sawa. Naomba ufafanuzi kwenye mkataba wangu wameandika basic salary yangu ni kiasi flani(say laki 5) lakini kiasi ninachopata in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.