ZOOM ya tangaza nafasi ya kazi

Smallfish

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
241
66
Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo :
1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45.
2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea.
3. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza.
4. Awe amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na kupatwa na madhara AU
5. Awe mwanamke ambaye yupo ndani ya mahusiano ya jinsia moja, yupo addicted na mahusiano ya jinsia moja na anatamani sana kuondokana na tabia hiyo ila anashindwa.
5. Awe tayari kusafiri sehemu yoyote Tanzania.

MAJUKUMU :

Kumsaidia Mtafiti kupata data za kufanya na kukamilisha utafiti wake.

MUDA WA KAZI :

Kazi hii itafanyika kwa muda wa miezi sita katika miji mbalimbali nchini Tanzania.

Tuma maombi yako ya kazi kwenda kwa Research Officer, Consolatha Consulatants Limited, kwenda : cocotanzania@gmail.com.

Maombi yako yaambatane na C.V yako.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16 OKTOBA 2012.

Application Instructions:
Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe
 
Nimelicopy ZOOM TANZANIA
--------------------------------------
Teachers Vacancy

Upendo Training College

Date Listed: Oct 5, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: 0763978664
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Nov 30, 2012
Start Date: Oct 09, 2012

Position Description:

Chuo Upendo Training Centre kinapenda kutangaza nafasi za kazi katika department zifuatazo.
Information technology 3post
Hotel and Tourism 2 post
Secretarial 2post
Journalism 3 post
Clearing and fowarding 3post

Procurement and Supplies 3post
Accounts and Bookkeeping 1post
Language and Communication 3 post
Mathematics,Physics,Chemistry 3post
History,geography and English 3post
Ualimu wa Chekechea 2post
Pia tunahitaji Mhudumu wa ofisi nafasi 3 na secretary wa ofisi nafasi 2.
MASHARTI YA KUOMBA
Mwombaji awe ana diploma ama degree ya fani anayoomba kazi.
Awe ni mkazi wa Dar es salaam.
Awe na umri chini ya miaka 26.
Katika email yako sehemu ya SUBJECT unatakiwa kundika unaomba kazi katikadepartment gani.
Maombi yote yatumwe kwa email hii tu: UPENDOTRAINING@YAHOO.COM

Application Instructions:

MASHARTI YA KUOMBA

Soma maelekezo hapo juu.
-------------------------------------------
Wadau toeni maoni yenu juu ya Kazi hizi....!
 
Application Deadline: Nov 30, 2012
Start Date: Oct 09, 2012

MASHARTI YA KUOMBA
Mwombaji awe ana diploma ama degree ya fani anayoomba kazi.
Awe ni mkazi wa Dar es salaam.
Awe na umri chini ya miaka 26.
 
mim naona mpangilio c mzur maana kuna post ya muhudum wa ndan apo apo wanataka degree na diploma cjaelewa kwa kwel kama had muhudum nae asomee
 
me naona ni sawa ni kama kutafuta mtu ambaye amewahi kupatwa na madhara ya madawa ya kulevya kama assistant researcher kuhusu research ya madawa ya kulevya na nini, mtu mwenye experience na hiko kitu, nadhani lengo ni kuwasaidia watu wenye matatizo kama hayo nadhani, na nafasi haijatangazwa na ZOOM, ni kampuni nyingine kupitia ZOOM.
 
i alwayz take as a story from western bt to think of da reality in tz mh mh bt may b nicibishe nicchokijua
 
me naona ni sawa ni kama kutafuta mtu ambaye amewahi kupatwa na madhara ya madawa ya kulevya kama assistant researcher kuhusu research ya madawa ya kulevya na nini, mtu mwenye experience na hiko kitu, nadhani lengo ni kuwasaidia watu wenye matatizo kama hayo nadhani, na nafasi haijatangazwa na ZOOM, ni kampuni nyingine kupitia ZOOM.

totolucky think ua right bt nahs itakua ngumu coz cio kitu kilicho spread in such kama madawa bt i belve there iz no harm in trying
 
Application Deadline: Nov 30, 2012
Start Date: Oct 09, 2012

Ha ha ah ah, huyu jamaa ni Mbururaaaaaaaaaaa

:A S embarassed::shock:
The popocated has not erupted yet the smoke is seen
 
Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo :

4. Awe amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na kupatwa na madhara AU
5. Awe mwanamke ambaye yupo ndani ya mahusiano ya jinsia moja, yupo addicted na mahusiano ya jinsia moja na anatamani sana kuondokana na tabia hiyo ila anashindwa.
Hivi ni macho yangu au ni hii miwani ninayovaa,khaaa na hizi sikuhizi zimekuwa sifa za kupata kazi?Huyo anapewa kazi au senior researcher anataka amresearch?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom