ukwel kuhusu hili

Unkwn

Member
Feb 20, 2012
36
3
hellw waungwana ,samahan ninaomba kufahamishwa kuhusu hili swala.mimi nikijana nliyemaliza certificate in law chuo cha mzumbe nlitegemea kuendlea nadiploma lakn ikashndikana kutokana nakukosa fees.tangu nimemalza nimekuwa nikijitahdi kutafuta kazi bila mafanikio..hvyo nikaona niwashirikize jamaa mbalimbal ktk kunisaidia lakn wananiambia siwezi nikapata kazi ktokana na nlichosomea hvi nikwel waungwana?ninaomba mnisaidie ushauri.ninashukuru sana
 
Back
Top Bottom