Swali ambalo lazima uulizwe kwenye interview

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
445
259
Wana JF naomba msaada wenu,hivi kwenye usaili wa kazi ukiulizwa "unataka tukulipe mshahara kiasi gani?". kwa hapo jibu zuri ni lipi?, labda kutaja mshahara wa juu sana au inakuwaje ili ufaulu swali kama hilo? msaada wenu wadau
 
1. fanya research ya mishahara kwenye kampuni hiyo au inayofanana na hiyo utapata average ya kiwango wanacholipwa.
2. coz unauza ufanisi wako (elimu, experience nk) ni vizuri kutaja expectaion zako ila usiende juu sana, na uweke option ya kunegotiate kama watakuhitaji. wengine watakuja
 
I think njia sahihi ni kuwauliza scale zao ziko vipi kwa beginners, though hili swali mara nyingi huwa wanali-avoid!
So ikitokea wamegoma kutoa scale zao - its best that ukataja kiasi ambacho ni cha kawaida, sio juu sana na sio chini sana.
Ni vizuri pia kabla hujaenda kwenye interview kwenye hiyo kampuni jaribu kufanya research kiana ujue normally huwa wanalipa kiasi gani, that way you would have some idea atleast!

Lengo la kusema kiasi size ya kati ni kwasababu in most cases they would want to negotiate, sasa ukisema kiasi cha chini sana kwa kuhofu unaweza kukosa kazi - unaweza kujikuta unaishia kupata mshahara wa chini sana.

All the best!
 
inategemea unataka kufanya kazi gani lakini unatkiwa kujiamini we taja interms of take home kuanzia laki 6 kuendelea hata mimi wakati naanza kazi nilitaja laki 8 kama take hom na walinipa laki 8 hio hio na kuna wa2 walitaja hadi laki 5 lakini waliacha wao wanaangalia competant ya mtu na hua wana kiwango wamekiweka ili wa2 wasizid hapo...kama ni serikalini hua viwango vinajulikana so kijana usjiweke cheap sana wao wana shida na ww una shida
 
its simple
tell them 'you cant pay me because am competent enough so could you pay according to my
compentency'
then watajie bonge la mshahara mpaka washangae,hapo watakuona value yako usijirahisishe sana
sababu huna kazi
kama unaweza jaribu kudadisi packages zao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom