Vip kuhusu written Interview ya GEPF, wameshaita kwa Oral interview?

Wana JF naomba hizi nafasi za mifuko ya jamii zikitangazwa tupeane taarifa maana nashangaa kuambiwa mmefanya interview naziwinda sana hizi kaz wakubwa
 
Kusema ukweli hata kama IT tulikua 101 wakati wanataka nafasi 1 nina uhakika hawajaita maana sijaitwa.Nasema hivo kwa sababu maswali yale ya written almost yote niliyapatia na zaidi CV yangu imesimama, so mkuu kwa imani thabiti nakuhakikishia hawajaita maana SIJAITWA
 
kazi kujuana sîo CV mkuu,interview zingine wanaita geresha tu,tayari wana vichwa vyao!!jus keep on faith
 
Back
Top Bottom