Salamu zenu Wadau naomba kujua kwa wale ambao tulifanya Interviews Written na oral kwa post mbalimbali za shirika la TANAPA ambazo zilifanyika centers tofauti Dar mwezi August, jee waliofanikiwa...
Saluti wadau wa JF!
Naomba msaada mimi na jamaa yangu tumepata nafasi ya ututorial assistant na Laboratory technician ila kwa sasa tuna kazi sehemu hivyo tunataka kujua maslahi yakoje ili tuamue...
Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea...
Wana JF, natafuta kazi za Freelance Graphic designer, ninauzoefu mkali sana, na kufanya kazi faster, nina I Mac, iko fresh, tunatumiana kazi na maelezo mi nafanya faster na kuemail back, mwenye...
mimi ni kijana ninayependa kujishughulisha, natafuta kazi yoyote ili niweze kujisogeza. nina elimu ya kidato cha nne, na kwasasa nipo collage. ningependa kufanya kazi yoyote ntakayopata mda ambao...
SENIOR LEVEL VACANCIES The Secretary-General is pleased to announce the following job opening:
Deputy High Commissioner, Office of the High Commissioner for Human Rights
The Office...
Wapendwa wapiganaji wa vita hii ya AJIRA...Wakati unangojea/unahangaikia ajira njoo ukaongeze uelewa zaidi:
Nafundisha:
i) Tally Accounts
ii) Quick Book Accounts
iii) Sage line & 50 & ERP...
Kama tumefikia Hatua Hii nadhani tumevuka mpaka.
Nadhani Kuwa ipo siku mtu atatakiwa kutakiwa kupeleka vyeti vya D.N.A kwenye interview. this is invasion of Privacy.Assistant Researcher Job in...
PROGRAMME FINANCE ASSOCIATE
United Nations Development Programme (UNDP) Tanzania invites applications from qualified Tanzanians for the position of Programme Finance Associate. The...
....Mdogo wangu[wa kike],amemaliza form four,amesoma short course ya computer,anatafuta kazi ya stationary.Kama kuna mtu anastationary au anamfaham mtu anaehitaji mfanyakazi wa aina hii tafadhali...
Ndugu wadau wa jukwaa hili, naomba kujua mtu yeyote mwenye kuifahamu hii taasisi kwa maana ya maslahi yao na mambo mengine kwani hivi karibuni walitangaza nafasi za kazi mimi niliomba na...
Habari wana JF, ninappenda kujua zaidi hawa jamaa, vitu kama vile ufanyaji wao wa kazi na maslahi kwani hivi karibuni walitoa nafasi za kazi mimi niliomba kazi na wamenitumia maswali ya interview...
The Top 7 Mistakes New Employees Make
Have you ever wondered how some people can begin a new job and seem like they fit in immediately? What about those new employees that seem to hang...
MR. DAVID ABRAM
(DIRECTOR OF HUMAN RESOURCE DEPARTMENT)
Manor Hotel Bed & Breakfast London
Village Green, Datchet, Windsor, Windsor, London, SL3 9EA...
World Vision Tanzania is seeking to recruit a suitable candidate to fill the following positions:
(1)Programme Officer (Humanitarian Emergency Affairs)
World Vision Tanzania is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.