Re; graduate recruiment- jobs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re; graduate recruiment- jobs

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Dadio, Oct 10, 2012.

 1. Dadio

  Dadio JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 360
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wana JF leo nimepigiwa simu kuhudhuria semina Holiday inn ijumaa. waliwah kutoa kazi zamani sana nikawatumia CV tu. sikumbuki hata wana dili na vitu gani hawa jamaa. tafadhali kama kuna mtu mwingine aliyepigiwa simu kuhudhuria semina anijulishe. na wanahitaji niende na note book tu. kama kuna mtu ambaye anawajua vyema hawa jamaa tafadhali nisije poteza muda ijumaa. sikuhizi kuna matapeli sana. tafadhali.
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  nenda kaka
   
 3. Ellie

  Ellie Senior Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Forever living hao:biggrin:
   
 4. kine

  kine Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wanadeal na nini hao?naomba ufafanuzi kidogo.kwa sababu mimi pia nimepigiwa simu.
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  wanauza aloe vera!!wanataka ukatembeze bidhaa mtaani hao!!!
   
 6. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kuuza vyombo,,,, 4ever living tushawajua cku hizi hawako direct kwenye mambo yao,, hata tangazo lao lilikaa kiwizi wizi na kujiogopa ogopa...
   
Loading...