PWC wamenipigia simu wakiniarifu kuhudhuria graduate recruitment itakayofanyika siku ya ijumaa saa 8.00 mchana holliday inn hotel.Wana jf mwenye dondoo zozote za hawa PWC azianike.
kujiandaa sio tatizo naweza kujiandaa na isitoshe wameniambia naenda kwenye training tu na niende na note book tu. tatizo sikumbuki hawa jamaa wana dili na mambo gani. kama vip nisije poteza muda siku ya ijumaa.hata lile tangazo nimelitafuta sijalipata. kama kuna mtu analo tafadhali anisaidie.
pwc ni kifupisho cha Price Waters Coopers zamani walikuwa wanajiita Cooper Lybrand... Ni Wakaguzi wa Mahesabu Auditors
ni Private Company wapo kibiashara zaidi na kazi wanapigisha balaa nenda ukajishikize kwa muda kwani CV yako itapanda na vikampuni vingi vinamezea sana watu wa hapo.... Bingo hilo Office Zao Zipo International House. Dadio
so hawa PWC ni watz?
PWC wamenipigia simu wakiniarifu kuhudhuria graduate recruitment itakayofanyika siku ya ijumaa saa 8.00 mchana holliday inn hotel.Wana jf mwenye dondoo zozote za hawa PWC azianike.
Dah yaani wewe kazi umeshakosa,, yaan unaenda kufanya interview proffessional firms hujui hata wanachofanya,, sasa uliombaje?? Please dogo google haraka, maana ili upate kazi kwa hao watu u need to be smart a lot...
I am working with among big 4, so jiandae na hata ukipata mchakamchaka wa job lazima kichwa kikae sawa,, but wenzako tunakomaaaaa maisha yanaenda
pwc wameshahama international house kitambo wapo obay siku hizipwc ni kifupisho cha Price Waters Coopers zamani walikuwa wanajiita Cooper Lybrand... Ni Wakaguzi wa Mahesabu Auditors