Habari zenu
Human Resource Officer anahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dodoma.
Anahitajika HR mwenye uzoefu wa kufanya Kazi viwandani.
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza...
Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe.
Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu...
Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary
Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary
Natanguliza Shukrani
Mahali: Kazi ya Mtandaoni (Remote)
Kampuni: Online Profits
Nafasi: Wakala wa Mauzo
KUHUSU ONLINE PROFITS
Online Profits ni kampuni ya e-learning inayolenga kusaidia wajasiriamali wanaotaka...
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED
P.O. BOX 30112
KIBAHA - PWANI
Simu: 0656 166 742
Barua pepe: eshodmang23@gmail.com
ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa...
Wakuu, habari za muda huu na poleni kwa shughuli mbalimbali za maisha. Nina maswali mawili kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Contact Centre Agent .
1. Maswali common yanayoulizwa...
Wakuu naomba kueleweshwa, nimekutana na baadhi ya matangazo ya kazi ambayo Yana kigezo kimojawapo cha muombaji kuwa ni mwajiriwa na aambatanishe barua yenye muhuri kutoka ofisi aliyoajiriwa.
Sasa...
Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja...
Hellow guys nimatumain yangu wote wazima na pia tunamshukur mola kutupa mwaka mpya
Jamani mimi natafta kazi ya kufanya iwe n kiwandani iwe n kushusha mizigo au kazi ata ya ufundi.
Nipo tayari...
Ndio hivyo tena hii ni 2025 ....
Napikiwa na naandaliwa na maji ya kuoga, kila mwaka napiga hatua moja mbele japo ndio hivyo kibishi sana alhamdulilah.
Nyie endeleeni kutusagia kunguni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.