Mechanical engineer job, deadline kesho Septemba 29

Mwamba1961

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
610
400
Ninauhitaji wa Mechanical Engineers wenye sifa na uwezo kama nilivyoonyesha hapa chini.

Mechanical Engineers, with CSWIP 3.1 certification and NDT qualification (VT;PT;MT;UT & RT).

Naomba kama una ndugu au rafiki mwenye uwezo na uzoefu na awe na vyeti anitumie CV kwenye e-mail,

bethel@amenconsulting.co.tz na copy to

atakoshabani@gmail.com

Naomba watume mwisho tare 29.09.2023 saa saba mchana.

Nimepewa nafasi kwa wazawa kwanza kabla hawajachukuwa wageni kutoka nje ya Tanzania 🇹🇿.

Jamani tushirikiane kusaidia watu wetu ambao ni wazawa.
 
Back
Top Bottom