Yaaap niambieAjira mpya mkuu?
3.2Mil mkuuuWanajamvi samahani naomba kuulizia kiwango cha msharahara (pesa) ambayo mfanyakazi anaweza kulipwa kwa kwango hiki hapa.
Salary Scale OSHA-Scale 6.1
Take home laki 5.2Toa
Heslib
Nssf
Paye
Nhif
Vipi we unaingiza ngapi kwa mwezi boss?Toa
Heslib
Nssf
Paye
Nhif
Wale wazee wa TGTSS E si wanarudi na laki mbiliToa
Heslib
Nssf
Paye
Nhif
100kWale wazee wa TGTSS E si wanarudi na laki mbili
We huwa unarudi na ngapi boss?Wale wazee wa TGTSS E si wanarudi na laki mbili
150k mkuuWe huwa unarudi na ngapi boss?
200k pula.Vipi we unaingiza ngapi kwa mwezi boss?
Nilijua pora.200k pula.
Tafuta ni pesa ya nchi gani
Mzee hizi ni pesa za madafu za huko karahali desert200k pula.
Tafuta ni pesa ya nchi gani
Umepata. Very geniusMzee hizi ni pesa za madafu za huko karahali desert
Hahah huko hamna mambo ya helsb na nssf?Umepata. Very genius
Yapo.Hahah huko hamna mambo ya helsb na nssf?