Habari zenu ndugu zangu! Habari zenu tena!
Nimeshiriki kuangalia applications kadhaa za watu kutoka Afrika kuja US hasa wanaotaka kuja aidha kusoma au kufanya exchange program. Jambo kubwa...
Jamani mm ni mtumishi niliyehamia wilaya ya wanging'ombe bila exchange na mtu yoyote lakini maafisa elimu msingi wa pale hawtaki ueleze chochote wanafosi kukupanga wao hivi nimepanhiwa ndani...
Kwa wakazi wa Mwanza natafta manual work yoyote halali salary kuanzia 200k per month. Karibu sana wana Mwanza 0625682899. Elimu yangu ni SHAHADA (ila chet nimeshaamua kukiweka pemben kwanza)
Habari ya Jumapili wana JF.
Natafuta ajira/Kazi nimesomea Human resources Kwa level ya degree.
Nipo tayari kufanya Kazi mkoa wowote
Kuhusu Mimi
-Mchapa Kazi
-Mtu wa kutoa matokeo
-Na mbunifu...
Habar Wana jukwaa,
Ni kijana wa miaka 27 nipo Dar essalaam Tegeta A natafuta Kazi ndugu zangu tusaidiane kwa wenye connection jamani,
Elimu yangu ni kidato Cha 6 japo nilifika chuo ila...
umesubiri kwa muda mrefu then simu hyo “Fika kwenye usaili siku fulan muda huo” umejipanga vzur kusali sana Nondo zimekaa..
Unafika kwenye uwanja wa usaili unakutana na mwenzio pia amekuja kwenye...
Habari wana JF
Hongereni kwa kazi ya kujenga taifa
Anatafutwa dereva mwenye leseni ya class C yoyote , kazi yake itakuwa itakuwa ni kuendesha basi la shule na majukumu mengine atakayopangiwa na...
Minimum Qualifications
• Diploma in Marketing/Sales. Bachelor’s Degree in Marketing/Sales will be an added advantage.
• 3+ Years of Similar Experience.
• Languages: Kiswahili and...
Habari!
Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko -...
Kichangani Garden & Resort
We are Hiring a Bartender to join our team at Kichangani Garden & Resort .
Send Your Resume to
kichanganigardenandresort@gmail.com
Deadline for Application is on 31...
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal.
Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa...
Habari zenu
Human Resource Officer anahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dodoma.
Anahitajika HR mwenye uzoefu wa kufanya Kazi viwandani.
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza...
Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe.
Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu...
Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary
Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary
Natanguliza Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.