Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Nahitaji mwalimu wa Economics kwa ajili ya kumfundisha kijana wangu. Umbali siyo tatizo, anaweza akamfundisha hata online kupitia whatsapp n.k Mwenye sifa awasiliane nami whatsapp kwa namba...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :- 1. Graphics Designing and Printing 2. Data Entry 3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission) 4...
3 Reactions
7 Replies
651 Views
Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani . Yupo Dar DSM Kuhusu yeye Ana age 18 Darasa la saba Anatoka Mtwara vijijini Dini yake Muslim. Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa...
3 Reactions
7 Replies
542 Views
Msichana wa miaka 25 anatafuta kazi yeyote ya halali elimu degree ya ualimu, lakini anafanya kazi yeyote mama lishe, restaurant, usafi yaani yeyote ile ya halali ambayo mwanamke anaweza fanya hata...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Nina maswali kadhaa kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Direct Sales Staff. 1. Maswali common yanayoulizwa...
2 Reactions
21 Replies
10K Views
Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login...
3 Reactions
11 Replies
501 Views
Nikijina wa miama 26 mkazi wa Arusha nina leseni class D nina uzoefu ila nipo tayari kufanya kazi yoyote sehemu yoyote Mawasiliano 0699249137
1 Reactions
1 Replies
398 Views
Inavyoonekana USAILI wa mchujo kunaweza kuwa na computer.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali yetu inachapa kazi kwa kasi sana!
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu hivi kama umeitwa kwenye interview utumishi na una namba ya nida tu .Je unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa ikakubalika? Nawasilisha wana Jf
5 Reactions
7 Replies
937 Views
Waungwana, nina siku 7 za kujiandaa na usaili wa utumishi kada ya Afisa maendeleo ya jamii daraja ii. Naombeni mnisadie baadhi ya maswali ya written ili nichanganye na yangu nisonge mbele...
3 Reactions
29 Replies
16K Views
Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni kazi ya ndugu zangu nina uzoefu wa bima angalau kwa miaka 3 kama kuna mdau ana broker, agency n:k
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii...
2 Reactions
2 Replies
620 Views
Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari, Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
SEZARI AQUACULTURE SERVICES iliyopo ndani ya jiji la MWANZA, inakuletea Huduma bora za ufugaji Samaki( viumbe hai Wa majini), tunatoa Huduma zifuatazo: uchaguzi Wa eneo la kuchimba bwawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom