Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo. ...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26. Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi...
1 Reactions
3 Replies
431 Views
Wale waajiriwa wapya wa bodi ya korosho Tanzania.. mkeka wenu huu hapa... Hongereni sana.
2 Reactions
4 Replies
694 Views
Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 nina leseni halali iliyohakikiwa na jeshi la police yenye madaraja B, D, CI,C2 naomba mwenye connection anisaidie. Nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na...
2 Reactions
2 Replies
406 Views
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili. Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira...
3 Reactions
127 Replies
6K Views
LinkedIn imekuwa jukwaa muhimu kwa wataalamu kuungana, kushiriki maarifa, na kutafuta fursa za kazi. Hata hivyo, jukwaa hili pia limekuwa uwanja wa kuonyesha mafanikio bandia, ambapo watu...
2 Reactions
6 Replies
793 Views
Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu habari natafuta nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote au biashara yoyote inayoqeza nipatia uzoefu wa kazi hata kama hawalipi natafuta uzoefu katika fani ya uhasibu. Nipo temeke dar es...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU) TITLE: MR PROFESSION: ECONOMIST EXPERIENCE: FRESH GRADUATE LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata...
4 Reactions
4 Replies
541 Views
Mpharmasia, mwenye cheti kinahitajika Kwaajili ya biashara ya pharmacy. Pharmacy ipo dar es salaam Biashara ni mpya ndy inaanza Call or Whatsapp 0767091177
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Habari wanajukwaa Mimi ni kijana wa miaka 26 Jina ni Innocent Nyakunga Makazi kwa sasa ni Shinyanga Mjini. Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo na kuhitimu Shahada ya...
16 Reactions
31 Replies
2K Views
POST ASSISTANT CUSTOMER SERVICE OFFICER II – 10 POST EMPLOYER Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA) APPLICATION TIMELINE: 2024-11-29 2024-12-12 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa naomba kuulizia mishahara wanayopewa watu wanaofundisha katika vyuo vya serikali vinavyootoa certificate na diploma, kiasi gani pamoja na motisha nyinginezo!?
0 Reactions
17 Replies
18K Views
Nahitaji watu wa kufanya manual work kama kulilma, usafi etc mwanza mkolani. Piga simu namba 0766 524 042.
3 Reactions
6 Replies
740 Views
Affluence Express Ltd ni Kampuni inayotoa huduma za kusafirisha vifurushi na mizigo Tanzania, ipo Ghorofa namba 20 jengo la PSSSF Millennium Tower II Kijitonyama - Dar Es Salaam. Tuna karibisha...
1 Reactions
1 Replies
503 Views
Mlofanikiwa mje mtuambie mmetumia mbinu gani maana nateseka sana
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wale, jamaa ambao mlikuwa mnatafuta shamba boy . Amepatikana tayari yupo anasubiria simu ili aende sehemu husika. Ana umri 28 Hana familia Elimu darasa la saba Uzoefu wa kulima , kuangalia...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Mimi nikijana Nina umri wa miaka 25, nimhitimu katika chuo cha Bandari college mwaka 2022 katika fani ya Freight Clearing Forwarding and Port Management. Nina uwezo na uzoefu wa kufanya kazi hizi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu Mimi shida yangu kubwa umu ndani NI kutaka kujua vyeo vyao kijeshi vya watunzaji misitu au Tanzania forest service vipoje kuanzia vyeo vyao Askari mbaka maofisa maana nimeona...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu poleni kwa majukumu! Ndugu zangu naombeni msaada wenu mwenye connection ya kazi naomba aniunganishe,hakika nimechoka kujitolea now ni mwaka 3 najitolea bila ajira.nina experience ya...
6 Reactions
10 Replies
810 Views
Back
Top Bottom