Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Job type: Full-time Job Purpose Mechanical Engineer Maintenance will be responsible to Identify and provide efficiency and output of all mechanical equipment through providing specialised...
0 Reactions
2 Replies
610 Views
Kuna watu wanamiili mikubwa Muonekano hamna Elimu hamna Nawao wanagombania kazi za restaurant, supermarket,dukan,sheli, Sasa endelea kuchagua sana kazi wakati waajili wanataka watu wanaojua wao...
2 Reactions
7 Replies
755 Views
Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k...
5 Reactions
18 Replies
866 Views
Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills" Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills . Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K...
9 Reactions
6 Replies
794 Views
Binti mwenye umri wa miaka 20 Ana Certificate ya Pharmacy ame-postpon mwaka wa tatu wa dimploma anatafuta kazi ya Ufamasia yupo Dar Namba 0781239520
1 Reactions
0 Replies
386 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuna changamoto ya ufatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi hasa Fedha za likizo na malimbikizo ya mishahara. Ukifatilia kwa maafisa utumishi wanakuambia jaza...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Habari wanajukwaa, Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo...
9 Reactions
99 Replies
36K Views
Habari wana jukwaa, Naomba kufahamishwa mshahara au malipo kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Asante
4 Reactions
13 Replies
6K Views
Kama kuna Mtanzania anayefanya kazi Canada, tafadhali naomba tuwasiliane, kuna moja na mbili za huko naomba kufahamishwa.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Samahani Wana JF kwa walio na taarifa au walioko huko uarabuni Nataka nikasome driving ili niombee kazi huko Sasa naomba kuuliza ni madereva gani wanahitajika kama ni taxi au maloro naomba...
1 Reactions
2 Replies
633 Views
Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na...
2 Reactions
2 Replies
543 Views
Software Developer We are looking for a skilled and enthusiastic Software Developer with expertise in Odoo to join our dynamic team. The successful candidate will focus on developing, customizing...
0 Reactions
3 Replies
627 Views
Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama. Naanza kwa...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Huu uzi ni mhimu kwa mwenye mapenzi mema na watakaofuata watusue tusu la usaili. usiogope kutupa tips za nini umekutana nacho wakati wa kusailiwa, Maswali, uzoefu na taratibu zingine. Ndugu kuwa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa...
20 Reactions
81 Replies
8K Views
Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mimi ni dereva wa Magari makubwa Kama Scania ,Faw .n.k Nimekuja hapa kutafuta Ajira au Kazi Kwa wamiliki wa maroli . Nipo na uzoefu wa kutosha wa jumla miaka 8 Namba yangu ya...
0 Reactions
4 Replies
419 Views
Hello ndugu zangu, mimi ni jinsia (ke) nina miaka 25 nina shahada ya lishe (2022) lakini pia nina uzoefu wa kufanya kazi za miradi ya afya na lishe (nimefanya intern kwenye miradi hiyo kwa muda wa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Life can humble you. Hili ndo limenitokea Wakuu nimekuja kwenu kuomba kazi ya udereva bodaboda. Mwenzenu ni kijana wa kitanzania ninaishi mkoa wa Dar es Salaam Kimara. Naomba mwenye bodaboda na...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mambo yanakwendaje wadau kwa mtu ambae tiyari ni degree holder na ana passion ya kwenda jeshi ni umri gani wa juu wa mwisho jeshi Lina chukua recruit! Na kama huna cheti cha Jkt je mafunzo ya...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom