Hatimaye nafasi za jeshi kwa professional zatoka

Mtumbwi

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
82
Reaction score
18
Jeshi la waasi wa nchini kongo(M23) limetangaza nafasi 700 kwa proffesional(vijana wenye taaluma mbalimbali)ili kuweza kukabiliana na upinzani mkali unaotarajiwa kutoka katika vikosi vya UN,ambavyo vimepewa uwezo wa kupambana na waasi hao.Akiongea kwa kujiamini mkuu wa M23,bwana Sultani Makenga amesema,wanataka kulifanya jeshi hilo kuwa la kisasa na lenye wasomi wengi wataoongoza mapambano makali dhidi ya vikosi vya UN,hivyo basi amewataka vijana wasomi hasa kutoka Tanzania wajiunge na jeshi hilo,kwani watapata malipo makubwa kutokana na faida itokanayo na migodi inayomilikiwa na jeshi hilo.Uandikishaji utaana hivi punde.Haya nafasi ndiyo hizo vijana,mungu kawafunulia neema tena.
 
Hapa unaweza lipwa miezi miwili tu dola yao ika collapse sijui utamdai nani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu weka link, nipo tayar ku-apply. Nina master ya compoter sc mkuu.
 
Acha tamaa nenda kafanye kazi ya proffesional yako ..jeshini hakuna computer unaenda kuwa mlinzi tu wewe
 
unaonesha hakwenda shule wewe. IT ipo juu sana kwenye jeshi la kisasa, fatilia mkuu. Ujui lolote. Tupo tayar kuonesha ujuzi maccm yanatubania sana.
 
amewataka vijana wasomi hasa kutoka Tanzania wajiunge na jeshi hilo,kwani watapata malipo makubwa kutokana na faida itokanayo na migodi inayomilikiwa na jeshi hilo.Uandikishaji utaana hivi punde.
N
Its clear that Objective of Sultani Makenga's M23 is not Kinshasa.
They are never interested in running Congolese Government
as long as they control mines, that suffices.
 
Acha tamaa nenda kafanye kazi ya proffesional yako ..jeshini hakuna computer unaenda kuwa mlinzi tu wewe

Jeshini kuna professions zote. Sema inatakiwa nidhamu ya hali ya juu(Sizungumzii M23 ,nazungumzia TPDF).
 
unaonesha hakwenda shule wewe. IT ipo juu sana kwenye jeshi la kisasa, fatilia mkuu. Ujui lolote. Tupo tayar kuonesha ujuzi maccm yanatubania sana.

Mwambie bila it,hata kova wasingemshraki Rwakatare!coa waliiona mtandaoni,ingawa ni fake
 
Jamani Ajira zinachosha Akili za watu halafu nyie mleta Jokes kwenye Jukwaa lisilo la jokes!
 
Siku hizi watu wako tayari hata kuuza nchi yao sababu ya pesa. Ule uzalendo uliomwangamiza Idd Amin sasa haupo tena.
Kama kweli M23 (hope is just a joke) wametangaza hizo nafasi, vijana wengi wataenda huko. Na sasa watakuwa wakipigana dhidi ya ndugu zao walio upande wa UN.
 
Jeshi la waasi wa nchini kongo(M23) limetangaza nafasi 700 kwa proffesional(vijana wenye taaluma mbalimbali)ili kuweza kukabiliana na upinzani mkali unaotarajiwa kutoka katika vikosi vya UN,ambavyo vimepewa uwezo wa kupambana na waasi hao.Akiongea kwa kujiamini mkuu wa M23,bwana Sultani Makenga amesema,wanataka kulifanya jeshi hilo kuwa la kisasa na lenye wasomi wengi wataoongoza mapambano makali dhidi ya vikosi vya UN,hivyo basi amewataka vijana wasomi hasa kutoka Tanzania wajiunge na jeshi hilo,kwani watapata malipo makubwa kutokana na faida itokanayo na migodi inayomilikiwa na jeshi hilo.Uandikishaji utaana hivi punde.Haya nafasi ndiyo hizo vijana,mungu kawafunulia neema tena.
Ole wao wale walioshiba na kuwadhihaki wenye njaa.
 
Mkuu kwa jinsi tulivyochoka, weka LINK nipo tayari kwenda kupambana na majeshi ya WATANZANIA HUKO CONGO, SITOJALI, KAMA NOMA NA IWE NOMA UNDUGU BAADAE.
 
Back
Top Bottom