Tofauti na nchi nyingine nyingi, kwa Tanzania ili upate kazi unayoitaka/nzuri ... kwanza lazima uwe na 'BAHATI/NGEKEWA', pili 'KIGOGO/BOSI' atakaye kuandikia ki-memo cha kupewa interview/kazi, tatu lazima 'UOMBE HIYO KAZI' unayoitaka na mwisho ndio suala la 'ELIMU/UZOEFU' ....
Mimi yangu nlpata kwa bahati!!!!!!
Kama una Dip ya ualimu au degree utaipata tu.Mwezi wa saba shule zikiwa zinafunguliwa tembelea mashule tu.Hata sasa unaweza kwenda na kuacha CV zako shule hasa za private
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.