iGodmanhustler
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 609
- 343
Kama uli apply pspf alaf jina lako halikuepo majina ya mwanzo..ebu fanya kucheki tena hasa ile post ya finance.majina ya mwanzo yaliishia kwenye g mwanzoni...langu halikuepo at first but now lipo soo go and check guys alf tujue tunaanza vipi