Natafuta kazi

Natafuta kazi

KASENYENDA JR

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
90
Reaction score
15
Mimi ni mkazi wa dar,elimu yangu ni ya chuo kikuu,natafuta kazi ya kufanya kwa mda kwa kuwa kipindi hiki niko nyumbani,niliahilisha mwaka waa masomo kwa matatizo binafsi,niko tayari kufanya kazi mahala popote pale,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom