Immagration call 4 intarview

Immagration call 4 intarview

Joined
Apr 1, 2013
Posts
11
Reaction score
2
Nyagoda wenzangu pitieni gazet la mwananchi la tarehe 6 may 2013 all the best walioitwa kwa intaview
 
Nyagoda wenzangu pitieni gazet la mwananchi la tarehe 6 may 2013 all the best walioitwa kwa intaview

Mkuu, Shukrani kwa info ila ingekua vizuri kama ungeweka na majina kama inawezekana ili waliochaguliwa waone na wasiochaguliwa basi waendelee kutafuta kwingine.
 
Mkuu nimejaribu kutafuta Gazeti la Mwananchi la 6/05/2013 nimelikosa ,Tunakuomba utuwekee majina hayo ya shortlisted candidate humu kwenye JF
 
Nyagoda wenzangu pitieni gazet la mwananchi la tarehe 6 may 2013 all the best walioitwa kwa intaview

Kwani huo usaili ni tar ngapi!. tumelitafuta sana gazeti hatujalipata, kama itawezekana mtuwowote alionalo alipost. itakua vema.
 
Interview ni tarehe 27/5 hadi 5/6/2013 hivyo wasiona hilo gazeti wafanye jitihada za kulitafuta kwa maana muda bado sana.
 
please hawa immigration wan*******nini nini maana ya website yao?au ndo undugu?
 
kwa waliofanikiwa kuona majina ya interview immigration plz nijulisheni kama jina hili lipo peter methew 0718690908
 
please please aliye na gazeti tuwasiliane kupitia namba hii 0767589301
 
tafadhali wanajamvi mwenye gazeti la mwananchi la tarehe 6/5/2013 anijulishe namba yangu ya cm ni 0653543623
 
Mbona zinachanganya sana. Zinaonesha kuwa interview itafanyika July 09 2012. Kifupi gazeti nililiona na lina majina mengi hivyo ikawa vigumu kuyaandaa au kuscan.
 
Back
Top Bottom